any way hii ni ngumu
kweli, na hasa katika maswala haya yanayohusu uchunguzi wa kipolisi.
Ndio yale mambo ya kukalia kuti kavu...kama lile la lulu na kanumba!
Dogo ndio hivyo tena atasota ndani kweli! Na kama hawatampata mhusika
ndio basi tena. Hii inaonyesha ilivyo hatari kwa vijana wanaojitafutia
riziki zao kihalali wanavyokumbana na hatari na risk nyingi. Sijui
vijana wetu wa boda boda, bajaji na taxi sasa watajilindaje wasijikute
wanabeba wahalifu!
Yeye ndie fist lead kwa sasa maana ndie alikuwa na mhusika kabla ya
tokeo kutokea regardless alijua au hakujua, alihusika au hakuhusika.
Natamani tu haki itendeke kwake na kwa waliohusika. Ikiwa hakuhusika
haki yake isiwe delayed, ichukue kasi ya wale jamaa wa falme za kiarabu
walioachiwa huru
maskini yatima huyo anakwenda fia jela
Kafara!!!!!!!
Akili fupi utazijua tuu..na kungekua na choo humu jf wengi mngekuwa mnaweka mzigo pembeni
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
huyo jamaa ni dereva wa bodaboda alikodishwa tu na mtuhumiwa alilipua bomu nakukimbia pilisi wakamng'ang'ania yeye hana kosa ,polisi wetu sio wachunguzi wazuri,wanapenda kutafuniwa tu!!POOR INVESTIGATION YA POLISI INAMALIZA NAKUTESA RAIAmwache akafe tu kwani na yeye si kauwa
Akili fupi utazijua tuu..na kungekua na choo humu jf wengi mngekuwa mnaweka mzigo pembeni
Huyu hapa.
![]()
Umeenda mbali sana mkuu.
Ni kufuru,mkuuKafara au kafiri.
Bado ninahisi kuna walakini kwenye ukamataji wa hawa washukiwa na sasa washitakiwa...
mwache akafe tu kwani na yeye si kauwa
Walakini upi? Funguka, mkuu
Namna Jeshi la Polisi kitengo cha upelelezi kinavyofanya kazi, hutegemea umbea zaidi.
waachie waarabu wakale bata wewe pumbav zenu munauwana wenyewe alaf mnamtafuta mchawi, hahaa mkuki kwa nguruwe sio