Picha ya Member wa Jamii forums Mwalim wangu huyooo

Ukichanganya captain Morgans spiced whisky afu ukatembelea rim ni balaa hapo
 
Halafu ticha sijui kapotelea wapi...kitambo!!

Nadhani matokeo ya kidato cha nne yalimvuruga kwa hiyo anakukuruka kuhakikisha ya kidato cha sita yanatoka vizuri, si unajua tena ...
 
Mi napita, picha bandia.
 
Nadhani matokeo ya kidato cha nne yalimvuruga kwa hiyo anakukuruka kuhakikisha ya kidato cha sita yanatoka vizuri, si unajua tena ...

Halafu kweli nadhani itakuwa hivyo tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…