picha ya Mbowe alipowekwa chini ya ulinzi

Yes Ivuga nimeitoa huko, nitatafuta means nyingine
 
Mbowe ni mwanaume na ukitizama askari wanaonekana km wamelazimishwa tu kumkamata, ila miyo yao si hivyo.

Unajua askari polisi wenye vyeo vya chini ndio wakwere sana, hasa wanaotoka DEPO wanajiona sana. Huyu anaonekana ni askari wa cheo cha juu na anatumia busara kidogo alizonazo. Si unajua polisi wetu wengi ni MBUMBUMBU MZUNGU WA RELI?
 
Thanks ndo picha yenyewe. umenihawi niliishaibadili kutumia flickr.
 
Ukiondoa said mkorofi (mwema?!) na andengenye wanaokula makombo ya jk na mafisadi wao, viongozi wengine wa polisi wana ustaarabu fulani wanaposhiriki kuwanyanyasa wapinzani wa sisiem. Kwa mfano kwenye picha inaonekana wanamsindikiza Mhe. Mbowe kistaarabu sana. Picha hiyo ikionwa na said mwema, hao askari kibarua chao kitakuwa mashakani.
 
Tatizo ni kwamba hawa jamaa wanaamrishwa na hao wakubwa wao wafanye madudu..ila polisi wenyewe wala hawataki kwani lichama lenyewe la mafisadi lilishawachosha. Ukichukulia walivyo na maisha duni yasioyokua na hamasa, wamekua kama watoto yatima, kwa hiyo hata kazi wanazofanya wanafanya kwa msongo wa mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…