Haya yatakosa soko kwa wadada maana hawawezi kuyatumia.
hili tango labda utalikuta kabatini mwa amber ruty[emoji1787]
Wadada kazi wanayo
Huyu mchina ndio huyo aliyekausha maji hadi tukakosa maji Dar ñzima? Kwa matango hayo ni sawa
Aiseee....
[emoji23]Matango matango eeee[emoji445][emoji444]
Matango matango eeee[emoji445][emoji444]
Matango matango si nyanya,
Vipi boss,vipi mshua Hauna buku hapo?
Sina,
Jero je?,[emoji444]
Sina!
Mia mbili je?
Sina![emoji445]
Anyway Hilo Moja litauzwa sh ngapi Kwa mfano?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]