Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,793
- 50,363
Hapo Polepole hayumo lakini!Sikuwahi kujua kumbe bashe ni mwanamtandao!
Zito sina shaka nae including pole pole
Naomba kurekebisha!Hapo Polepole hayumo lakini!
Ina CODES na majina!!Kwa mujibu wa polepole hapo kuna mmoja alimpa bahasha dereva taksi
Bashe alikuwa mfanyakazi wa Rostam pale Habari house Sinza 😄😄Sikuwahi kujua kumbe bashe ni mwanamtandao!
Zito sina shaka nae kwa mujibu wa pole pole
Hivi ni nani ?? Mi sjamuelewa kabisaKwa mujibu wa polepole hapo kuna mmoja alimpa bahasha dereva taksi
Kabisa... Ila ingawa Pascal Mayalla anasema Polepole hasemi yote, aliyokwisha kusema tayari yanaleta maana...ukiona mtu anatabasamu kwenye kuzika ujue ni psychopath au kwa tafsiri nyingine anafurahia, angalia picha ...
Kiongozi mstaafu wa ccm b ~ subtitle by polepoleHivi ni nani ?? Mi sjamuelewa kabisa
Polepole mwaka huu atawatoa nyongo... Maana kila anayejibu anapewa majibu yake anatulia... Sijui Albert Msando aliishia wapi😃😆Kiongozi mstaafu wa ccm b ~ subtitle by polepole
NAam, hiki anachofanya polepole kwa sasa kila mtu akifanya, hata kama wasipotaka kutoka hapo ikulu ila mambo yatakwenda vizuri tu,Polepole mwaka huu atawatoa nyongo... Maana kila anayejibu anapewa majibu yake anatulia... Sijui Albert Msando aliishia wapi😃😆
Umeanza Kufuatilia Siasa lini?Sikuwahi kujua kumbe bashe ni mwanamtandao!
Zito sina shaka nae kwa mujibu wa pole pole
Sasa huyo so konda wao, wamemlea mwenyewe pale Habari Cooperations chini ya Rostam, labda Mzee Ulimwengu atuambie ilikuwake akaliuza gazeti pendwa la RAI Kwa RostamSikuwahi kujua kumbe bashe ni mwanamtandao!
Zito sina shaka nae kwa mujibu wa pole pole