Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Charles ulivyokuwa unaonekana mkakamavu, mwenye uchungu na nchi, mpiganaji, ni nini kilikuingia mpaka ukasaliti chama? Mwenye profile ya Rehema tunaomba atuwekee mara moja ili tujue tulikuwa na kamanda wa aina gani
Duu makubwa hayo, halafu hawa jamaa sasa hivi wanafikiria wataiishi je...Kumbe hawa ndio WACHUMIA TUMBO walioanza ghafla kuota MAGAMBA ya CCM kujichukulia mlungula kwa ajili ya maslahi binafsi bila kujali maslahi maslahi mapana wa sisi WALAZWAHOI tuliowengi katika taifa hili???
Chonde tupeni zaidi profile ya kila mmoja wao hawa jamaa na usaliti wao wote kwa AZMA NZITO YA KULETA MABADILIKO YA KWELI nchini; wame wasaliti wana-A Town na Watanzania kwa ujumla.
Hakika kwa CHADEMA wachumia tumbo na wenye kuota ghafla magamba siku zote hawana maisha; labda wakajaribu upatu wao huko kwenye chama maarufu kwa kuhifadhi mafisadi nchini - Chama Cha Magamba.
Kumbe hawa ndio WACHUMIA TUMBO walioanza ghafla kuota MAGAMBA ya CCM kujichukulia mlungula kwa ajili ya maslahi binafsi bila kujali maslahi maslahi mapana wa sisi WALAZWAHOI tuliowengi katika taifa hili???
Chonde tupeni zaidi profile ya kila mmoja wao hawa jamaa na usaliti wao wote kwa AZMA NZITO YA KULETA MABADILIKO YA KWELI nchini; wame wasaliti wana-A Town na Watanzania kwa ujumla.
Hakika kwa CHADEMA wachumia tumbo na wenye kuota ghafla magamba siku zote hawana maisha; labda wakajaribu upatu wao huko kwenye chama maarufu kwa kuhifadhi mafisadi nchini - Chama Cha Magamba.
jifanye mjinga siku ipite.
<br />dah rasta na yeye yumo, khaaas kweli pesa shetani!
<br />Charles ulivyokuwa unaonekana mkakamavu, mwenye uchungu na nchi, mpiganaji, ni nini kilikuingia mpaka ukasaliti chama? Mwenye profile ya Rehema tunaomba atuwekee mara moja ili tujue tulikuwa na kamanda wa aina gani
Madiwani wa Chadema wa Halmashauri ya Jiji la Arusha waliofukuzwa uanachana wakijadiliana jambo kabla ya kuingia katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho ili kuhojiwa, mjini Dodoma.
Kuanzia kushoto
Source: Mwananchi
- Estomih Mallah wa Kata ya Kimandolu
- John Bayo wa Kata ya Elerai
- Ruben Ngowi wa Kata ya Themi,
- Rehema Mohamed wa Viti Maalum
- Charles Mpanda wa Kata ya kaloleni
HESHIMUNI NA KUYATII MAMLAKA YALIYO JUU YENU