DOGofGOD JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 1,341 Reaction score 480 May 9, 2015 #21 Very Sad.Oooh Lord!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 9, 2015 #22 Aiseee.....
S Sonofsoil JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 2,134 Reaction score 1,189 May 9, 2015 #23 Huyu bwana a it we shujaa Wa 2015. Nilipoiona hiyo picha kwenye runinga nilisikitika Sana. Yule mtoto maskini ya Mungu angekufa bure. 2040 yule ndiyo mbunge wa Ilala na naibu Waziri wa miondombinu.
Huyu bwana a it we shujaa Wa 2015. Nilipoiona hiyo picha kwenye runinga nilisikitika Sana. Yule mtoto maskini ya Mungu angekufa bure. 2040 yule ndiyo mbunge wa Ilala na naibu Waziri wa miondombinu.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 May 9, 2015 #24 Serikali kupitia mkuu wa mkoa wa dar Mh. Meck Sadick wameipongeza mvua hii na kuiombea inyeshe zaidi ili kuwakomesha waliojenga mabondeni.
Serikali kupitia mkuu wa mkoa wa dar Mh. Meck Sadick wameipongeza mvua hii na kuiombea inyeshe zaidi ili kuwakomesha waliojenga mabondeni.
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,534 Reaction score 63,061 May 9, 2015 #25 duuh.....this is dangerous
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 May 9, 2015 #26 Zamaulid said: mke utao mwingine Click to expand... Abeee yamekuwa hayo????
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 May 9, 2015 #27 michael western said: Ngoja mvua ikatike,mwakani utawaona tena wanabeba magodoro,hawa watu wa dar hawatagi funzo kila mwaka wao ndo hivo Click to expand... Nawahurumia sana watoto wadogo maana wanapata adhabu isiyowahusu
michael western said: Ngoja mvua ikatike,mwakani utawaona tena wanabeba magodoro,hawa watu wa dar hawatagi funzo kila mwaka wao ndo hivo Click to expand... Nawahurumia sana watoto wadogo maana wanapata adhabu isiyowahusu
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 May 9, 2015 #28 Daudi Mchambuzi said: Serikali kupitia mkuu wa mkoa wa dar Mh. Meck Sadick wameipongeza mvua hii na kuiombea inyeshe zaidi ili kuwakomesha waliojenga mabondeni. Click to expand... Kamuiga pinda wapigwe tu
Daudi Mchambuzi said: Serikali kupitia mkuu wa mkoa wa dar Mh. Meck Sadick wameipongeza mvua hii na kuiombea inyeshe zaidi ili kuwakomesha waliojenga mabondeni. Click to expand... Kamuiga pinda wapigwe tu
Gunst JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 3,171 Reaction score 6,149 May 9, 2015 #29 Hivi dar mnayoisifia ndo iko hivi?