Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,058
- 34,814
Je hapo Dares-Salaam Usafi tunafanya vizuri?
Wazoa taka wakisukuma mkokoteni wenye taka katika barabara ya Kirumba, jijini Mwanza jana. Halmashauri ya Jiji la Mwanza imepiga hatua katika kuhakikisha mazingira yanakuwa safi katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo hali inayoleta sura ya kuvutia. (Picha na Fadhili Akida).![]()
Je hapo Dares-Salaam Usafi tunafanya vizuri?