englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
...kama bustani ya majani bandia...!
mimi nilikwisharuhusiwa rabda ww ndiye uombe ruhusa
farkhina, uombe ruhusa siku moja tuka-enjoy mahali hapa, sawa?
mimi nilikwisharuhusiwa rabda ww ndiye uombe ruhusa
Njoo uniombee maana ulinzi mkali sana apa.....😉😉😉
nyumbanihahaahahah kakuruhusu nani englibertm....nawe hujitupi lol
nyumbani
kuna ulinzi gani hapo, nijiandae