picha ya leo

picha ya leo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
998461_698024736881353_1022157774_n.jpg
 
huu upumbavu wa sekta zetu huu........bango limechafuka hata huelewi nini kimeandikwa .....wao wanatizama tu.......dunia nzima inaona mlima mrefu Africa una bango limeoza........kwa asiejua ni urefu gani.....hapo kwenye 5895 mbele panasomekaje hapo........?
 
Preta:Nimeyapenda maoni yako....
 
Last edited by a moderator:
huu upumbavu wa sekta zetu huu........bango limechafuka hata huelewi nini kimeandikwa .....wao wanatizama tu.......dunia nzima inaona mlima mrefu Africa una bango limeoza........kwa asiejua ni urefu gani.....hapo kwenye 5895 mbele panasomekaje hapo........?

Sanamu kubwa ya Mkuu imeshaandaliwa kwa ajili ya kuwekwa hapo.
 
Kwa uchafuzi wetu wa mazingira, hata theluji ilishayeyuka, kumebaki kama kwenye kichuguu cha shambani kwetu tu.
 
huu upumbavu wa sekta zetu huu........bango limechafuka hata huelewi nini kimeandikwa .....wao wanatizama tu.......dunia nzima inaona mlima mrefu africa una bango limeoza........kwa asiejua ni urefu gani.....hapo kwenye 5895 mbele panasomekaje hapo........?

si mpaka bunge lipitishe bajeti ya kukarabati ambapo tutaunda tume ambapo tutatenga bilioni 6 kwa ajili ya upembuzi yakinifu ama feasibility study
 
huu upumbavu wa sekta zetu huu........bango limechafuka hata huelewi nini kimeandikwa .....wao wanatizama tu.......dunia nzima inaona mlima mrefu Africa una bango limeoza........kwa asiejua ni urefu gani.....hapo kwenye 5895 mbele panasomekaje hapo........?

Preta taratibu, lugha kali umetumia! watoto tutaiga lugha kali
 
Back
Top Bottom