Picha ya leo

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salam wakiangalia Lori la kubeba zege la Kampuni ya Dippsi lenye namba za usajili T 254 AUS, likiwa limelalia basi dogo aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T 352 ABC linalofanya safari zake kati ya Temeke na Mbande, baada ya kugongana kama ilivyokutwa eneo la Mbagala Kipati, hakuna mtu aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo
 
Attachments

  • 05_11_s3pcav.jpg
    05_11_s3pcav.jpg
    47.3 KB · Views: 258
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salam wakiangalia Lori la kubeba zege la Kampuni ya Dippsi lenye namba za usajili T 254 AUS, likiwa limelalia basi dogo aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T 352 ABC linalofanya safari zake kati ya Temeke na Mbande, baada ya kugongana kama ilivyokutwa eneo la Mbagala Kipati, hakuna mtu aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo

Mungu ashukuriwe kwani hakuna aliyepoteza maisha...Lol..Ajali hizi!!!!!!!
 
Kipanya chupuchupu kulaliwa,kidogo iwe kama ile ajali ya mbezi.Mungu apewe sifa
 
pole kwa waliopatwa na ajali hiyo...shukrani kwa MUNGU aliyewalinda na kifo kilichokuwa kikiwanyemelea
 
Mi huwa sielewi hivi hizi ajali za bongo ni madereva ndio tatizo hawajafanyiwa training ama ndio yale mambo ya kichawi? Au mpaka waje watu kutoka ng'ambo kututrain tatizo nini jamani yaani mpaka inaogopesha. Lol

baadhi ya wakazi wa dar es salam wakiangalia lori la kubeba zege la kampuni ya dippsi lenye namba za usajili t 254 aus, likiwa limelalia basi dogo aina ya toyota hiace lenye namba za usajili t 352 abc linalofanya safari zake kati ya temeke na mbande, baada ya kugongana kama ilivyokutwa eneo la mbagala kipati, hakuna mtu aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo
 
Nakuhakikishia hata huko ng'ambo kungaliweza kuwa na ajali hata kuzidi huku kwanza kuna magari mengi na yangeweza kwenda kasi sana barabara zao zinaruhusu lakini watawala hawana utani,ikitokea umepata ajali uchunguzi hufanywa kwa kina bila ubabaishaji na ikidhihirika ni uzembe kuna adhabu za viwango tofauti tofauti na hakuna uwezekano wa kutoa rushwa kabisa,kwa mfano huku Germany ukisababisha ajali na basi la public yaani metro utanyang'anywa leseni na hutaendesha gari tena labda mkaendeshane na mkeo chumbani kwenu.
 
Back
Top Bottom