picha ya leo: mpiga picha mashuhuri

picha ya leo: mpiga picha mashuhuri

mabomu

Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
43
Reaction score
7
comment plz
 

Attachments

  • kingfisher-camera_2219752i.jpg
    kingfisher-camera_2219752i.jpg
    22 KB · Views: 166
hiyo itakuwa ile kamera ya kuchukua angle lazima..
 
sidhani kama hii picha imepigwa kwa camera hiyo
 
Nadhani utaalamu wa kutengeneza picha umetumika hapo
 
huyo kweli ni cameraman maarufu nipe contact yake.
 
Haiwezekani hiyo kamera ndo iliyopiga.
kamera tofauti kabisa imetumika kuchukua photo.
 
Nzuri sana.... Na huyo Dada lol.. Hilo pozi la kupiga picha sijui kasomea wapi....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom