Picha ya Leo: Hebu ipe maneno yake

Picha ya Leo: Hebu ipe maneno yake

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
11088853_815006208579573_141693522418301666_n.jpg
 

Attachments

  • Kazi ipo bongo.jpg
    Kazi ipo bongo.jpg
    29.8 KB · Views: 716
Kibongo bongo ndio atakuwa Amesha tajirika kuwa na gari unataka bado afanye biashara ya kuendesha bodaboda tu .
Ustaadh bodaboda inalipa kuliko taxi unaepuka foleni na inapenyapenya ka kipanya na itakuwa na wateja wengi kwasababu bei si mbaya na unafika safari yako haraka zaidi.Sasa hasara aloipata hapo baada ya kufanywa sandwich si bora angebaki na bodaboda tu loool....:lol:
 
Waswahili wanamsemo kuwa " Ukijua kunyonga kuchinja huwezi", sasa madereva wa boda boda wamezoea kuchomekea hivyo kufuata sheria kwao ni taabu hivyo wanapata shidaaaaaa!
 
Boda boda na kuchomekea bhana ,utawapenda tuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom