Picha ya leo 9/6/2015

Tusidanganyane ukishakula ni ngumu sana kukwepa kuipa kura CCM kwa sababu dhamira yako itakuwa inakusuta!
 
Hii picha japo ina maaana nyingi lakin ni ishara tosha kuwa watanzania wengi wanaroho ya usaliti
 
Tusidanganyane ukishakula ni ngumu sana kukwepa kuipa kura CCM kwa sababu dhamira yako itakuwa inakusuta!

Siku ya kupiga kura utakuwa wewe na karatasi tu mkuu maamuzi utakuwa nayo wewe....

Ukae kwenye foleni ya bvr kwa saa 24 Na siku ya kupiga kura kwa saa 10 ~12 alafu uje uwapigie ccm kura utakuwa huna akili wewe
 
ndoroooobo si hiki ki ugunduzi kije huku kwetu
 
Aiiiseeee hizi t-shirt zinapatikana wapi????????
 
ila akumbuke hakuna cha buree meen!! kila mla huliwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…