Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 264
- 1,011
Ni hatariView attachment 3366771Pamoja na matukio mengi ya kusikitisha katika ajali ya ndege ya Air India nambari 171 iliyotokea jana Juni 12 mara baada ya kupaa katika uwanja wa ndege wa Ahmedabad, picha ya kusikitisha ni ya Pratik Joshi na familia yake yaani mke na watoto watatu wakiwa ndani ya ndege muda mfupi kabla hawajaanza safari.
Pratik Joshi alikuwa akiishi London kwa miaka sita. Akiwa mtaalamu wa programu, alikuwa na ndoto ya muda mrefu ya kuijenga maisha ya Ulaya pamoja na mke wake na watoto wao watatu wadogo, waliokuwa wakikaa India.
Baada ya miaka mingi ya kusubiri kibali, hatimaye ndoto hiyo ilikuwa karibu kutimia. Siku mbili tu zilizopita, mke wake, Dk Komi Vyas, daktari maarufu kutoka Udaipur, aliacha kazi yake. Mifuko ilikuwa tayari imefungwa, waliaga wapendwa wao, na maisha mapya yalionekana kuwa karibu kufikiwa.
Siku ya safari Juni 12, familia hiyo ya watu watano, wakiwa na matumaini na furaha, walipanda ndege ya Air India kuelekea London. Walipiga picha ya pamoja (selfie) na kuituma kwa ndugu. Ilikuwa ni safari ya njia moja kuelekea maisha mapya. Lakini hawakuwahi kufika. Ndege ilianguka. Hakuna aliyenusurika.
Kwa muda wa sekunde chache, ndoto za maisha yote ziligeuka kuwa majivu. Ni ukumbusho wa kikatili kwamba maisha ni dhaifu mno.
Youβre trying to sound deep, but honestly, you're just confidently wrong.Usisikitikie Wazazi wako Wana hali mbaya ya maisha huko Rufiji unasikitika watu wasiokujua
Ndugu wanatamani hata wangebaki tu India kwenye maisha duni, huenda leo wangekua haiPamoja na matukio mengi ya kusikitisha katika ajali ya ndege ya Air India nambari 171 iliyotokea jana Juni 12 mara baada ya kupaa katika uwanja wa ndege wa Ahmedabad, picha ya kusikitisha ni ya Pratik Joshi na familia yake yaani mke na watoto watatu wakiwa ndani ya ndege muda mfupi kabla hawajaanza safari.
Pratik Joshi alikuwa akiishi London kwa miaka sita. Akiwa mtaalamu wa programu, alikuwa na ndoto ya muda mrefu ya kuijenga maisha ya Ulaya pamoja na mke wake na watoto wao watatu wadogo, waliokuwa wakikaa India.
Baada ya miaka mingi ya kusubiri kibali, hatimaye ndoto hiyo ilikuwa karibu kutimia. Siku mbili tu zilizopita, mke wake, Dk Komi Vyas, daktari maarufu kutoka Udaipur, aliacha kazi yake. Mifuko ilikuwa tayari imefungwa, waliaga wapendwa wao, na maisha mapya yalionekana kuwa karibu kufikiwa.
Siku ya safari Juni 12, familia hiyo ya watu watano, wakiwa na matumaini na furaha, walipanda ndege ya Air India kuelekea London. Walipiga picha ya pamoja (selfie) na kuituma kwa ndugu. Ilikuwa ni safari ya njia moja kuelekea maisha mapya. Lakini hawakuwahi kufika. Ndege ilianguka. Hakuna aliyenusurika.
Kwa muda wa sekunde chache, ndoto za maisha yote ziligeuka kuwa majivu. Ni ukumbusho wa kikatili kwamba maisha ni dhaifu mno.
Hahaha π€£ π π π ila wewe hahahaha hahahaha hahahaha noma sana hahahaha hahahhah hahahaha hahaha a hehehehe aiseee kwamba hajali familia yake anajali wengine hahahaha haha. Kisa ngozi nyeusi hahhahaa hahhahaUsisikitikie Wazazi wako Wana hali mbaya ya maisha huko Kisiju unasikitikia watu wasiokujua
Ndio maana Israel anawaangamiza nyie magaidiUsisikitikie Wazazi wako Wana hali mbaya ya maisha huko Kisiju unasikitikia watu wasiokujua
Kifo ni fumbo. Hakuna jinsi ya kukwepa kifo mkuu...!Ndugu wanatamani hata wangebaki tu India kwenye maisha duni, huenda leo wangekua hai
Sasa hivyo vitoto maskini wa mungu vimemkosea nini huyo Allah au Jehova wenu??Pamoja na matukio mengi ya kusikitisha katika ajali ya ndege ya Air India nambari 171 iliyotokea jana Juni 12 mara baada ya kupaa katika uwanja wa ndege wa Ahmedabad, picha ya kusikitisha ni ya Pratik Joshi na familia yake yaani mke na watoto watatu wakiwa ndani ya ndege muda mfupi kabla hawajaanza safari.