Picha ya Kumbukumbu

Inasikitisha sana.
 
Mkuu acha maisara
is this serious?!
 
View attachment 505465
Kabla ya safari wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent ya Arusha walipiga picha hii. Mungu twakuomba uwasamehe watoto wetu na uwahifadhi mahala pema peponi. Aamiin.
inasemekana kwenye hii picha wote wako hai kwa sababu walipanda gari jingine tofauti na lilopata ajari
chanzo: dira ya mchana TBC
 
View attachment 505465
Kabla ya safari wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent ya Arusha walipiga picha hii. Mungu twakuomba uwasamehe watoto wetu na uwahifadhi mahala pema peponi. Aamiin.
Hapana Hii picha ni Wenzao waliokuwa Kwenye Magari Mengine Mawili Msiupotoshe Umma Tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…