Ukiiangalia hiyo picha ya hao watoto, usoni hawaonekani wenye furaha kwa trip. Miili na roho zao zilikuwa na hisia fulani ambayo haikutafsirika. Mwenyezi Mungu azipokee na kuzilaza roho zao mahali pema
Uko sahihi 100% wanaonekana hata kabla ya safari hawakuwa na furaha na waweza hisi kama wamelazimishwa vile au wanasubiri adhabu......Shetani ni Mwovu tena ni muuaji na mtesi katili pia mchonganishi......Mungu Baba wape nguvu na ujasiri wote walopoteza watoto wao wapendwa....
Habari zinazotembea sasa kwenye grup zinasema mzazi mmoja alikuwa na watoto watatu hapo wote wamefariki katika ajali hii
Na baada ya kupata taarifa hizo, naye akafa kwa mshituko
Na vile vile inasemekana mume wake kafariki mwezi mmoja uliopita...