View attachment 505465
Kabla ya safari wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent ya Arusha walipiga picha hii. Mungu twakuomba uwasamehe watoto wetu na uwahifadhi mahala pema peponi. Aamiin.
Umeni-pre empty.Walikuwa hawana furaha kabisa.Mambo ya mungu makubwa.Dah!!!Nijuavyo kikawaida watoto wanapendaga safari,so kuanzia usiku wa kuamkia safari wanalala usngizi wa mang'amng'am wakiwaza kukuche tu safari ianze.,lakini hapo kwenye picha yaonyesha hawakua na furaha.,ama kweli MWENYE ENZI MUNGU MUUMBA WETU ametuumba na hisia ya yajayo mbele yetu pamoja na kuwa mara nyingi hatuyatambui moja kwa moja ama hatuyaongelei.
R.I.P watoto wetu wapendwa.
Hebu acha uzushi! Utakuwaje na furaha huku mvua inanyesha ni kibaridi cha arusha kinakutafuna?Kweli asee hawakuwa na nyuso za furaha hata kidogo! Sio kawaida ya watoto kwa safari kama hizi.
Mungu awape pumziko la milele!
Aisee! Mtoto wa paka Jimmy ni yupi hapo?View attachment 505465
Kabla ya safari wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent ya Arusha walipiga picha hii. Mungu twakuomba uwasamehe watoto wetu na uwahifadhi mahala pema peponi. Aamiin.
Aisee! Mtoto wa paka Jimmy ni yupi hapo?
Ukiiangalia hiyo picha ya hao watoto, usoni hawaonekani wenye furaha kwa trip. Miili na roho zao zilikuwa na hisia fulani ambayo haikutafsirika. Mwenyezi Mungu azipokee na kuzilaza roho zao mahali pema [emoji120] [emoji120]View attachment 505465
Kabla ya safari wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent ya Arusha walipiga picha hii. Mungu twakuomba uwasamehe watoto wetu na uwahifadhi mahala pema peponi. Aamiin.
Ndio mkuu.Arusha wing wametoa tangazo habari na hoja mchanganyiko kueleza yaliyomfika mwenzetu paka jimmy.Aisee, Paka Jimmy nae kapoteza mtoto? Pole sana kwa wazazi wote waliopoteza watoto wao! Inasikitisha sana!