Sitaki kuamini kwa picha ntk nikajionee mwenyewe,
Juzi juzi tu hapa Amana nimeng'oa jino kwa elfu 60,
Bado kupanga foleni sijui CRDB kufanyaje,
Aiseee km kweli kuna mabadiliko natamani niyashuhudie na isiwe Muhimbili tu iwe hospitali zote,
Pia ningeshauri madaktari na manesi wabadilishwe hasa wa Amana maana wale utu hawana hata chembe.