Picha ya helikopta ya Mchungaji Gwajima

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Ile chopa ya Mchungaji wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima naona iko tayari kwa ajili ya kueneza injili mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya kata kwa kata na mtaa kwa mtaa.

Safi sana, tunahitaji watu wenye vision kubwa kama hawa, Mungu awabariki na msonge mbele achaneni na maneno ya waswahili



Moja ya mikutano yake Arusha na Moshi


Hapa ni ibada ya kumshukuru Mungu kwa kununua chopa hiyo





 
Mwenyezi mungu ambariki hayo mengine naye pia ni binadamu hamna mkamilifu chini ya jua ndiyo maana ikawepo toba
 
Mwenyezi mungu ambariki hayo mengine naye pia ni binadamu hamna mkamilifu chini ya jua ndiyo maana ikawepo toba

Ni kweli mkuu, injili huubiriwa na wanadamu sio malaika, madhaifu kila mtu anayo hata Petro na Mtume Paulo walikua ni watu wa kutofautiana sana kwenye huduma zao ila Mungu aliwachagua hao hao
 
mpe hongera! but awe mkweli kuhusu his financial sources na si kuwahadaa waumini..

siku nikiamka vizuri nitongelea kwa undani sana kuhusu manunuzi ya hii chopa..

kwa leo mpe hongera..
 
mpe hongera! but awe mkweli kuhusu his financial sources na si kuwahadaa waumini..

siku nikiamka vizuri nitongelea kwa undani sana kuhusu manunuzi ya hii chopa..

kwa leo mpe hongera..

Naomba iwe kesho mkuu
 
mpe hongera! but awe mkweli kuhusu his financial sources na si kuwahadaa waumini..

siku nikiamka vizuri nitongelea kwa undani sana kuhusu manunuzi ya hii chopa..

kwa leo mpe hongera..

Kweli mkuu tunasubiri kwa hamu ndondo zako mkuu, Mungu akubariki sana
 
hivi akipata deal hiyo chopa ikodoshwe na chana cha siasa atakubali....!
 
mpe hongera! but awe mkweli kuhusu his financial sources na si kuwahadaa waumini..

siku nikiamka vizuri nitongelea kwa undani sana kuhusu manunuzi ya hii chopa..

kwa leo mpe hongera..

watakupiga kipaipai
 
hivi akipata deal hiyo chopa ikodoshwe na chana cha siasa atakubali....!

Dah sijaua mkuu ila nadhani inabidi maintain neutral ground japo juzi kati nisikia Halima Mdee alikuwepo kwenye uzinduzi wa chopa hii pale Kawe, na pia Nape Nnauye na Sitta huwa wanakwenda sana pale mara kwa mara, pia miaka ya 2009 au 2010 hivi Dk. Slaa aliwahi kwenda pale Ubungo kanisani kwake.

Nadhani anaweza kulitlea ufafanuzi hili, ngoja jamaa waje wanaweza kujibu hili
 
mpe hongera! but awe mkweli kuhusu his financial sources na si kuwahadaa waumini..

siku nikiamka vizuri nitongelea kwa undani sana kuhusu manunuzi ya hii chopa..

kwa leo mpe hongera..

Nakuombea Mungu siku hiyo ifike mapema...
 
Ni kweli mkuu, injili huubiriwa na wanadamu sio malaika, madhaifu kila mtu anayo hata Petro na Mtume Paulo walikua ni watu wa kutofautiana sana kwenye huduma zao ila Mungu aliwachagua hao hao

Madhaifu kama yepi? Ndio kuna udhaifu wa kibinadamu lakini yapo mambo hayatakiwi yatajwe kwa mtumishi wa Mungu
 
mpe hongera! but awe mkweli kuhusu his financial sources na si kuwahadaa waumini..

siku nikiamka vizuri nitongelea kwa undani sana kuhusu manunuzi ya hii chopa..

kwa leo mpe hongera..

Usinge tujurisha basi ungekaakimya mpka siku ambayo unge amka vizuri,Toba ililetwa kwa ajili ya Binadamu na sii punda.Yesu mwenyewe alikosolewa enzi hzo yupo mwenyew,sembse gwajima.Haya tunasubiri,manake watu kama nyinyi hampo kwa bahati mbaya,Mpo kwa makusidically.
Basi mbona wakitizama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako,na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyw huiangalii?,au utamwambiaje ndg yako,niache nikitoe kibanzi katika jicho lako:na kumbe! Mnaboriti ndani ya jcho lako mwenyewe.Mnafiki wewe,itoe kwanza ile boriti,iliyo katika jicho lako mwenyewe;ndipo utakapo ona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Mt 7;3-5
 
Loh

Wanashukuru Mungu kwa kununua Chopa, nadhani wangeshukuru kwanza sadaka zao
 
dini ni biashara nzuri inayolipa vizuri siku hiZi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…