Kwani umeshatoka? Kama bado basi usitoke kwanza! Subiri
Ni movements zinazoenda kwa kasi ya aina yake but very well timed
Unafanya diversion hapa ili kuhamisha attention ya public kisha unabutua
Unahakikisha unajenga hofu kubwa kwa yeyote anayejaribu kwenda kinyume
Unajenga msingi wenye kingo imara kupitia teuzi za watendaji waliojawa hofu
Vipaza sauti vyote vya baraza la jamii ama vinatobolewa au kubondwabondwa kama si kufungiwa ghalani
Ukishindwa kuichora picha ya 2020 basi saidia hata kupaka rangi ili siku tukiibandika kwenye bango USISHANGAE
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anakubalika na watanzania woga unatoka wapi?Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
Ni movements zinazoenda kwa kasi ya aina yake but very well timed
Unafanya diversion hapa ili kuhamisha attention ya public kisha unabutua
Unahakikisha unajenga hofu kubwa kwa yeyote anayejaribu kwenda kinyume
Unajenga msingi wenye kingo imara kupitia teuzi za watendaji waliojawa hofu
Vipaza sauti vyote vya baraza la jamii ama vinatobolewa au kubondwabondwa kama si kufungiwa ghalani
Ukishindwa kuichora picha ya 2020 basi saidia hata kupaka rangi ili siku tukiibandika kwenye bango USISHANGAE
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeshiba ni ngumu kumkumbuka mwenye njaa,Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
Amua kusema MIMI na siyo SISI.Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
Sijawahi kuona imeshinda.