mbona watu wachache sana wanatoa pole(comment za pole) kwa familia ya marehemu?
km vile hili swala halijawauma wengeee?
Polisi hawana rank kama hiyo.Mtiririko uko sawa.Pia hicho cha mwisho pia kina utata kwani ni ka-cheo ambako kwa mujibu wa PGO hakakutajwa na hakapo so nafikiri busara tuanzie na PC tu period
mi sijui kwa nini halijaniuma aisee!!!
Una ugonjwa wazungu wanauita "Hasty generalization" ama ugonjwa huu ukiwa serious sana unaitwa "bendera kufuata upepo (kwasababu kila mtu ameonesha kufurahi na mimi nafurahi)"..but najua koz wewe ni great thinker basi wewe una hiyo hasty generalization.
Dawa:
Jaribu kumchukulia mtu kama yeye (as an individual).
Natanguliza shukrani.
Naomba kuuliza. Hivi huyo afisa usalama wa taifa Major Jacob Mutashi (aliye katika moja ya picha zilizo hapo juu) ana uhusiano wa kindugu na yule Mwalumu Dr Jacob Mutashi ambaye uwa aanafundisha mambo ya kimungu redioni kwenye kipindi cha Revival Time pale Kiss FM ya Mwanza? Nauliza hivyo kwa sababu kwanza majina yao yanafanana, umri wanakaribiana na zaidi ya yote wanafanana sana.
Yaani mkuu unamaanisha kwamba huyo mwalimu Dr Jacob Mutashi wa Revival Time ambae pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili kule Mwanza na ambae pia aliwahi kuimbia bendi ya Mbaraka Mwinshehe na kuitungia ule wimbo maarufu wa "Enyi Vijana Sikilizeni" ndiye huyo huyo aliye hapo pichani kwenye msiba?Nadhani ni yeye. Na pia ni muimbaji wa nyimbo za injili
Yaani mkuu unamaanisha kwamba huyo mwalimu Dr Jacob Mutashi wa Revival Time ambae pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili kule Mwanza na ambae pia aliwahi kuimbia bendi ya Mbaraka Mwinshehe na kuitungia ule wimbo maarufu wa "Enyi Vijana Sikilizeni" ndiye huyo huyo aliye hapo pichani kwenye msiba?
Mmmh. Basi mimi nikajua kuwa ni watu wawili tofauti na kwamba huyo mmoja aliye pichani yuko wizara ya mambo ya ndani Dar es Salaam na mwingine (Mwalimu Dr Jacob) yuko Mwanza akiendelea na kueneza injili. Kwa hiyo anafanya kazi mbili kwa pamoja yaani usalama wa taifa na kuhubiri injili? Au ni watu wawili tofauti mkuu?Yes mkuu
Kesi ikiendelea wewe umekufa inasaidia nini?kesi bado inaendelea na watuhumiwa wamekamatwa huwa inatolewa kwenye gazeti la mwananchi.