Picha:Wazungu eti wanadai mademu wetu wakiafrika hawana mvuto ebu angalia wao

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,616
Mzuqa!

Tuendelee tu kumshukuru Mungu na kujivunia kuzaliwa mwafrika. Ni jambo jema na la kujivunia. Laiti tungezaliwa kama wao ama kukulia toka utotoni kwenye Jamii yao tungebaki kuwa mazoba yaliyokubuhu na mentality mbofumbofu.

Eti huyu hapa chini kwenye picha wenyewe wanavyodai ni mrembo balaa na ana mvuto wa aina yake. BORA TU TUBAKI NA LOW IQ.

A naitwa Kendal jarner eti wenyewe wanavyodai ni kati ya mwanamke mrembo na mwenye mvuto wa aina yake duniani sasa hivi na wako serious hawatanii hawa watu wanaopeleka hadi roketi Mars.

Sasa cha kusikitisha na kuhuzunisha kwa hawa watu demu mkaree kama huyu eti kwao hana mvuto hata wakipishana hawageuzi shingo.

Narudia tena bora Tuendelee tu kuwa na low IQ kuliko hii mentality zao za kisoro
 
Hivyo vimbau mbau ndo vizuri Mkuu!
Na ndo wanaoolewa hao..... Tembo hawafugwi wanaangaliwa tu huko huko mbugani
Ndio maana dada zetu kila uchwao wanahangaika na diet

Sio wote..nyie ndo mnatutisha na zile BMI sijui....binafsi hubby akiona kamba anaitupiaga darini...!mnatutisha sana kuwa magonjwa yatatupeleka ahera..ndo maana unatukuta tumejazana gym..lols
 
Sio wote..nyie ndo mnatutisha na zile BMI sijui....binafsi hubby akiona kamba anaitupiaga darini...!mnatutisha sana kuwa magonjwa yatatupeleka ahera..ndo maana unatukuta tumejazana gym..lols
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mna shida sana nyie watu unakuta mtu anashindia kipande cha tikiti maji+vimboga mboga wenyewe mnaita salad sijuiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hivyo vimbau mbau ndo vizuri Mkuu!
Na ndo wanaoolewa hao..... Tembo hawafugwi wanaangaliwa tu huko huko mbugani
Ndio maana dada zetu kila uchwao wanahangaika na diet
Nakuunga mkono, vimbaumbau vitamu balaa, ukipiga unataka tena hapo hapo.
Lakini hawa mabonge unahisi umetenda dhambi kubwa kweli, halafu unabaki unazilaumu Genye kwa kukunyegeza. Hawa wa kwetu wanavutia ndani nguo tu,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mna shida sana nyie watu unakuta mtu anashindia kipande cha tikiti maji+vimboga mboga wenyewe mnaita salad sijuiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mie nakul had najionea tabu...aku
 
Mkuu, hivi umewahi kuchapa madem wembamba wale wanaojua kukubana na kukunatia mwilini kama luba au pweza? Acha kabisa, acha wembamba wawe expensive bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…