Picha:Wazungu eti wanadai mademu wetu wakiafrika hawana mvuto ebu angalia wao

Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,982
Points
2,000
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,982 2,000
Jon Stephano ulipotupia picha ya huyo dem mwemba ulivuruga kabisa akili yangu, niliposhuka chini na kukuta picha ya huyo bonge umenikata stimu kichizi, bora huyo bonge ungemfungulia thread ya peke yake.
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,168
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,168 2,000
Wanawake wetu wa Afrika wana maumbo makubwa sana, ukivaa hiyo sijui nini kitatokea

namanisha hyo chupi mkuu..hyo ni free size mzee baba .inaonekana ibatanuka😊😊😊...nacheka balaa hapa
 
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
4,202
Points
2,000
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
4,202 2,000
Hivyo vimbau mbau ndo vizuri Mkuu!
Na ndo wanaoolewa hao..... Tembo hawafugwi wanaangaliwa tu huko huko mbugani
Ndio maana dada zetu kila uchwao wanahangaika na diet
Mwanamke wa kiafrika (bantu) anaye ji diet, hajitambui na kaathirika na uzungu ki saikolojia.
Afadhali afanye mazoezi kwa ajili ya kuimarisha afya yake kuliko kuji diet.

Mwanamke yoyote aliyenona anaheshimika marambili, mosi kwa kuwekwa kwenye kundi la mke wa mtu na kupewa heshima stahiki, hata kama hajaolewa.

Pili na kama ameolewa, heshima juu kwa mme kwamba anatunza na kujali.

Sasa mwanamke kimbaumbau anashobokewa na jamii gani hapa Afrika? Sijawahi kusikia.
 
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
9,133
Points
2,000
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
9,133 2,000
Mwanamke wa kiafrika (bantu) anaye ji diet, hajitambui na kaathirika na uzungu ki saikolojia.
Afadhali afanye mazoezi kwa ajili ya kuimarisha afya yake kuliko kuji diet.

Mwanamke yoyote aliyenona anaheshimika marambili, mosi kwa kuwekwa kwenye kundi la mke wa mtu na kupewa heshima stahiki, hata kama hajaolewa.

Pili na kama ameolewa, heshima juu kwa mme kwamba anatunza na kujali.

Sasa mwanamke kimbaumbau anashobokewa na jamii gani hapa Afrika? Sijawahi kusikia.
Kweli kabisa mkuu hata mimi mwenyewe wanawake wanene nawapenda sana kuliko hivyo vyembamba!
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
10,496
Points
2,000
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
10,496 2,000
Mange ndio maana anapambaba na mwili mwembamba?
 
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
733
Points
1,000
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
733 1,000
John stephano ha ha ha ha umenichekesha ulivyo "eti hawa wanarusha ROCKET sayari ya mars"


Ha ha sijui wanafeli wapi ila maisha ni kuchagua brother
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
13,827
Points
2,000
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
13,827 2,000
Huyo mwanamke wa kizungu ni mzuri.
 
IROKOS

IROKOS

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
7,910
Points
2,000
IROKOS

IROKOS

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
7,910 2,000
Nakuunga mkono, vimbaumbau vitamu balaa, ukipiga unataka tena hapo hapo.
Lakini hawa mabonge unahisi umetenda dhambi kubwa kweli, halafu unabaki unazilaumu Genye kwa kukunyegeza. Hawa wa kwetu wanavutia ndani nguo tu,
Huwezi nishawishi kuacha hii murembo hapo chini mazee....
tapatalk_1559331565238-jpeg.1115802
 
Oxx

Oxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
671
Points
1,000
Oxx

Oxx

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
671 1,000
Nyama ya mfupa tamu ila wembamba wa kuni Apana...!

Ila unene wa kitipwatipwa, kiuno kuonekana kwa shida apana Γ— 2!..
 
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
8,090
Points
2,000
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
8,090 2,000
wazungu afya mbovu...hawataki kujishughulisha na mabooster kama hilo
 

Forum statistics

Threads 1,326,865
Members 509,632
Posts 32,237,779
Top