The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,614
Mzuqa!
Tuendelee tu kumshukuru Mungu na kujivunia kuzaliwa mwafrika. Ni jambo jema na la kujivunia. Laiti tungezaliwa kama wao ama kukulia toka utotoni kwenye Jamii yao tungebaki kuwa mazoba yaliyokubuhu na mentality mbofumbofu.
Eti huyu hapa chini kwenye picha wenyewe wanavyodai ni mrembo balaa na ana mvuto wa aina yake. BORA TU TUBAKI NA LOW IQ.
A naitwa Kendal jarner eti wenyewe wanavyodai ni kati ya mwanamke mrembo na mwenye mvuto wa aina yake duniani sasa hivi na wako serious hawatanii hawa watu wanaopeleka hadi roketi Mars.
Sasa cha kusikitisha na kuhuzunisha kwa hawa watu demu mkaree kama huyu eti kwao hana mvuto hata wakipishana hawageuzi shingo.
Narudia tena bora Tuendelee tu kuwa na low IQ kuliko hii mentality zao za kisoro