Uchaguzi 2020 Picha wasizopenda kuziona Lumumba

INRI

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
1,326
2,294
Nawasilimu wakazi wa JF!


Kuna picha zipo mtandaoni Lumumba wakiziona wanaumia mara mbili.

Hizi ni kama za Tundu Lissu akionesha Tabasamu lenye kuashiria Ushindi, Uso wa Lissu ni wenye furaha ya ndani kutoka kumoyo.

Hizi ni zile picha ambazo LISSU hatumii wanafunzi, Wasanii na kusomba watu kwa kuwapa elfu tano ili kujaza idadi.

Mama Nyerere aliongea wazi aliletwa kuongeza idadi hakuwa tayari kuja


Basi naomba tuzitupie picha hapa, wakipaniki tunaongeza spana.


Ni yeye 2020.

 
Mbona unateseka?

Hapo kwanza ilikuwa ni UKAWA.... SAWA?

MBALI YA YOTE TUNDU LISSU KAVUNJA REKODI KUKUBALIKA NA MAELFU BILA UKAWA, WASANII, KUTOROSHA WANAFUNZI, KULAZIMISHA WATUMISHI KUJA MIKUTANONI NA BILA MALORI NA MAFUSO PAMOJA NA MABASI.

NI YEYE TU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…