nenda kondoa utawakuta kibao...kazi kwako tu kujitafunia. Smile na Passion Lady njooni uku mnatafutwa au mshatimkia kijijini? Pia Ye Soya jiandae maana na wewe pia watafutwa huku
mmmh toeni uongo kuna kabila lisilopenda kufanya matusi? pelekeni imani zenu zisizo na tija! kwa uzuri tu tunakimbiza mbayaaaaaaaaa umalaya tabia ya mtu sio kabilaaa