ilikuwa kwenye schedule...
sijaona tatizo hapo liko wapi! lol...
mbona mizungu inafungu ndoa ikiwa uchi wa mnyama mbuzi?
hivi kulikuwa na senene kweli?
Ugumile iwe mseija umemuona mgole😀
hawa watu sitaki hata kuwasikia ninafanya nao kazi yani mungu tu anatusaidia tusio wahaya hapa ofisini! mkiwa ofisini sana kila kitu ni iweee iweee waguna agasibayo wabonaki yan kazi ipo mbaya zaidi hata halmashauri wamejaa wahaya kibao ukienda maafisa utumishi wanakusalimia kihaya wakiona wewe ni mnyamahanga utaisoma namba!! ee mungu nisaidie nifanikiwe kuhama huu mkoa. aimeeen!
Ha ha ha pole bana ndo maisha mie wamenizunguka ha ha na biss wangu mwenyeww mhaya hadi kwenye meeting ni kihaya tu.
Mie huwaga kimya ha ha ha.
Ha ha ha pole bana ndo maisha
mie wamenizunguka ha ha na boss wangu mwenyeww mhaya hadi kwenye meeting
ni kihaya tu.
Mie huwaga kimya ha ha ha.
asante ndugu hata mie bosi ni walewale. makanisani sasa ndio usiseme ni kiswahili dot kihaya kiswahili kihaya duh!! inafikia hatua hata mshahara tunaocheleweshewa wengi wetu sio wahaya yani hawana hata huruma hawa viumbe wa adamu...
pole sana lipenzi! uko bukoba ama karagwe?
Hahahaha Rubisi hiyoo utengenezaji wake nasikia shidaaaa
Kama kumbukumbu zangu Ziko sahihi miguu inahusika hapooo
bk mjini wangu umeniita lipenzi jamani Excel sio vizuri utafkiri mi ni likubwa lol niite kipenzi banah coz ni kidogodogo et! upo lakin???? habari za uliko kwa usiku huu!???