Picha: Wahaya mbwembwe mpaka harusini

jamani, mie mchumba wangu mhaya...akpita hum, af mnawadis, atanifanyia shuntama mwee
 
Nbona kama warundi hawa? wana kila feature ya kirundi.
 
WAKORA WAITU!!! all in all KATERERRO BOYS misifa ndo jadi yenu
 
Waguma, wagiramayo.
Tall, black, thin he he mashaallah bibie atakuwa anafaidi sana pale katikati maana hiyo ikiingia tu mi raha mwanzo mwisho.
 
Waguma, wagiramayo.
Tall, black, thin he he mashaallah bibie atakuwa anafaidi sana pale katikati maana hiyo ikiingia tu mi raha mwanzo mwisho.

Unawaza katerero tu wewe
 
Hahahaha Rubisi hiyoo utengenezaji wake nasikia shidaaaa
Kama kumbukumbu zangu Ziko sahihi miguu inahusika hapooo
 
Waguma, wagiramayo.
Tall, black, thin he he mashaallah bibie atakuwa anafaidi sana pale katikati maana hiyo ikiingia tu mi raha mwanzo mwisho.

Na ka mwani kwa mbali
 
Waguma, wagiramayo.
Tall, black, thin he he mashaallah bibie atakuwa anafaidi sana pale katikati maana hiyo ikiingia tu mi raha mwanzo mwisho.

Ugumile iwe mseija umemuona mgole😀
 
ilikuwa kwenye schedule...

sijaona tatizo hapo liko wapi! lol...

mbona mizungu inafungu ndoa ikiwa uchi wa mnyama mbuzi?

hivi kulikuwa na senene kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…