Picha: Wahaya mbwembwe mpaka harusini

Yah unashangaa nini jamaa kmaliza furaha yako yote vile anajua fursa hiyo hutokea once in life.kizuri zaidi anamwacha hoi mkewe kwa icho kituko ambacho wife wake hatokisahau milele atakiadithia maisha yake yote.wengine huwabeba wake zao mgongoni jamaa yeye kaja na yake mpya.mimi cku ikifika nitaruka sarakasi
 
Wahaya wana mikogo balaa. mi nilishawahi kuwa na mchumba wa kihaya but ile nimeenda kwao nikakuta mama nishagongaga Enzi hizo
 
hahahaaaaa.,...,..,.Mimi nilizani amekaa kiti kirefu anapata koja baridi moja moto kumbe karukaaa.
 
ha ha ha huyu jamaa kama sikosei ni daktari wa muhimbili full mashauzi
 
and whats there to discuss??its his day let him enjoy it….mbona wtz tunapenda kufatiliana...
 
Naona miss chagga anafanyiwa mazoezi hapo na mume wake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…