Picha: Wahaya mbwembwe mpaka harusini

educator2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
403
Reaction score
465
Jamani hawa ndugu zetu toka pande za Bukoba (Wahaya) wamezidi mbwembwe mpaka harusini huyu bwana harusi alileta mashauzi kwenye harusi kwa kuruka mpaka suruali ikachanika (ikatatuka) Aibuuuu!!!
 
Attachments

  • BUKOBA.JPG
    45.5 KB · Views: 10,290
  • BUKOBA3.JPG
    33.1 KB · Views: 4,391
  • BUKOBA2.JPG
    53.1 KB · Views: 8,275
Hatariii! huyu jamaa ana mbwembwe utadhani ndo kwanza anaanza yale mambo yetu
 
Sidhani kama ni wahaya hao dizain kama warundi hivi
 
Jamani hawa ndugu zetu toka pande za Bukoba (Wahaya) wamezidi mbwembwe mpaka harusini huyu bwana harusi alileta mashauzi kwenye harusi kwa kuruka mpaka suruali ikachanika (ikatatuka) Aibuuuu!!!
Hawa jamaa wana mbwembwe halafu ndio ukutane na aliyemaliza form 4. Jamaa anaruka na kukanyagana kama mgambo!
 
Ha ha ha ha uuh haki ya mama wakora waitu
kilichomrusha juu hivo nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…