Pua ya zege JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 1,938 Reaction score 2,081 Mar 28, 2024 #41 JAYJAY said: Maandalizi yote hayo Bado unakuta wanaiba uchaguzi. Maamae zao. Click to expand... Walishindwa wakiwa na land cruiser hard top itakuwa hizo takataka za mchina
JAYJAY said: Maandalizi yote hayo Bado unakuta wanaiba uchaguzi. Maamae zao. Click to expand... Walishindwa wakiwa na land cruiser hard top itakuwa hizo takataka za mchina
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,985 Reaction score 21,236 Mar 28, 2024 #42 Mjanja M1 said: Maandalizi yameshaanza. View attachment 2946191 Click to expand... Hizi juhudi zinahatarisha usalama wa mgombea kisiasa!! CCM chama changu wameamua kabisa kumuua huyu mwenyekiti kisiasa!! Ngoja nione jinsi chaguo jingine litavyopitishwa na chama !!
Mjanja M1 said: Maandalizi yameshaanza. View attachment 2946191 Click to expand... Hizi juhudi zinahatarisha usalama wa mgombea kisiasa!! CCM chama changu wameamua kabisa kumuua huyu mwenyekiti kisiasa!! Ngoja nione jinsi chaguo jingine litavyopitishwa na chama !!
Mbabaishaji Senior Member Joined Nov 13, 2018 Posts 132 Reaction score 219 Mar 28, 2024 #43 San LG Attachments Screenshot_20240328-143420_1.jpg 1,018.9 KB · Views: 6
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 21,854 Reaction score 27,025 Mar 28, 2024 #44 Mjanja M1 said: Maandalizi yameshaanza. View attachment 2946191 Click to expand... Mbowe anagombea ubunge kimyakimya.
Mjanja M1 said: Maandalizi yameshaanza. View attachment 2946191 Click to expand... Mbowe anagombea ubunge kimyakimya.
C chrstopher JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 275 Reaction score 562 Mar 28, 2024 #45 Atlantic Star said: ......duu!! ni mkoa gani hapo!!.... Click to expand... kibiti mkoa wa pwani
F FOCAL JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 3,645 Reaction score 5,197 Mar 28, 2024 #46 maramojatu said: This time piga kura, Linda kura. Wezi hatuwataki kwenye ofisi ya umma Click to expand... Wale washakuwa kama mbwa mwitu, kukujeruhi ni muda wowote. Nitakuwa mwangalizi tu kutokea pub ya jirani na kituo cha kupigia kura.
maramojatu said: This time piga kura, Linda kura. Wezi hatuwataki kwenye ofisi ya umma Click to expand... Wale washakuwa kama mbwa mwitu, kukujeruhi ni muda wowote. Nitakuwa mwangalizi tu kutokea pub ya jirani na kituo cha kupigia kura.
M maramojatu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 2,012 Reaction score 2,644 Mar 28, 2024 #47 FOCAL said: Wale washakuwa kama mbwa mwitu, kukujeruhi ni muda wowote. Nitakuwa mwangalizi tu kutokea pub ya jirani na kituo cha kupigia kura. Click to expand... Nitalinda kuitetea nchi yangu. Uzalendo kwanza. Kataa wizi
FOCAL said: Wale washakuwa kama mbwa mwitu, kukujeruhi ni muda wowote. Nitakuwa mwangalizi tu kutokea pub ya jirani na kituo cha kupigia kura. Click to expand... Nitalinda kuitetea nchi yangu. Uzalendo kwanza. Kataa wizi