Picha: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA chalinze

Picha: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA chalinze

Jamani chadema msipoteze hela hilo jimbo laenda kwa ccm
 
Nawaonea huruma sana.
Kwanza chopa bado inasubiri matokeo Kalenga? Du poleni sana!
Kalenga tumemaliza Sasa tukutane Chalinze, baada ya hapo tukae chini tuone chama kinadaiwa bei gani na viongozi wa Chadema.
 
Back
Top Bottom