Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Watu wamejitokeza kwa wingi na bado wanazidi kumiminika hakika chadema inapiga kotekote...
Baada ya chama cha Majangili jana kukosa watu kabisa kwenye uzinduzi wao wa kampeni za chalinze leo chama pendwa chadema kinazindua kampeni zake na mpaka sasa watu wamejitokeza kwa wingi sana hakika ina tia moyo..
Picha za awali kabisa...