Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

Hahahahaaaaaaa endeleeni na utaratibu wenu wa kupokea makapi ya ufisadi yanayotimuliwa CCM, sisi wenye kujitambua kamwe hatuji huko kwa wapiga dili. Chama chenyewe mlishamuuzia Lowassa fisiadi kitambo then bado mnakuja hapa kutushawishi rubbishes!!
Kaeni na chama tuwachieni tufaidi kodi zenu kwa maendeleo. Yeebah
 
Poleni, hata wa Mbeya ulikuwa hivyo hivyo hadi akafa Akukweti wakaujenga mwingine pale Songwe..
 
Hahahahaaaaaaa endeleeni na utaratibu wenu wa kupokea makapi ya ufisadi yanayotimuliwa CCM, sisi wenye kujitambua kamwe hatuji huko kwa wapiga dili. Chama chenyewe mlishamuuzia Lowassa fisiadi kitambo then bado mnakuja hapa kutushawishi rubbishes!!
Umesema kwa hasira sana..Sasa huko Ruvuma ni kipi kizuri jamani? nend vijijini ndo shida, watoto wanasomea shule za ajabu kabisa..nguzo zimesimikwa na kupauliwa ovyoovyo kwa combination ya bati chakavu na nyasi eti tayari ni shule. Ivi hiyo CCM kama ilikuwa inawapenda hivyo wanaoichagua si wangefanya mambo basi? Kaangalie na makazi ya watu.. ni shida..mwendo wa nyasi kila mahali.. ivi unaanzaje kuilinganisha na kaskazini? kule shule zao, makazi yao, barabara zao ni super.. Na kule ndo Upinzani toka 1995. Amkeni Wanalizombe, madai haki yenu wasiwafanye mazuzu kiasi hicho
 
Jirani na maeneo yangu ya kujidai Mfaranyaki. Kama namuona vile Dada Mayasa hapo Airport akikagua wasafiri kabla ya kuwaruhusu kuingia ndani ya ndege.

 
Jirani na maeneo yangu ya kujidai Mfaranyaki. Kama namuona vile Dada Mayasa hapo Airport akikagua wasafiri kabla ya kuwaruhusu kuingia ndani ya ndege.
Uwanja una rough carpet la brown, sio shamba la ndagu
 
Reactions: BAK


Kuna Jestina Mhagama na wahenga wengine wa Yes Mzee, wao wanaona poa tu kuwa na airport ya kipumbavu kama hiyo? Kweli wana CCM ni maadui wa haki daima.
 
Jamani hii inji imepigwa.
Unaweza kukuta hapo mahela kibao yalishatoka ya kujenga hivyo viwanja;
 
nyumbii bombiii,bujibuji bora umesema.
 
yan tuache kujenga JNIA ya chato, tuje tupoteze muda songea...? subirini kikinuka kamati ya maafa ipo na msimamizi wa michango ya rambi rambi kutoka mkoa wa arusha atasimamia zoezi then tutafunika kombe.....kidumu chama
 
Ni shida kwenda huko nilitafuta ndege ya kwenda na kurudi kwa siku moja nilikosa nikauliza hata siku inayofuata nigeuze nikaambiwa hakuna, Fast Jet hawaendi Air Tanzania wanaenda mara 3 kwa wiki
 
WE UNA AKILI FUPI SANA UNAMSIFU KWA KUWABANA MAFISADI SIO KUKUNUFAISHA WEWE, Ungemwambia ye Ndo Rais wenu na unampenda kwa kukufanya 1..,2.., 3.., na sio kubana majizi je baada ya kuwabana we umenufaika na nini.
 
Uzuri ni kwamba Bombadier zinatua hata msituni .
 
Kuna jamaa wa Musoma ngoja waje na uwanja wao...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…