DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,986
- 3,151
Songea ipi unayoishi mkuu ya kuitetea CCM hivyo?? Hii yenye huduma mbovu kila mahali?? Barabara na vituo vya abirua katikati ya mji uchafu mtupu vinajaa maji, huduma za afya hovyo, usafiri ndo usiseme, kamji giza hata kuweka taa za solar hakuna lakini kura zote CCM. Ukweli ni kwamba Ruvuma hakuna wa kuisemea bungeni!Mtoa mada unanifanya niamini kuwa hukutoa mada hii kwa lengo jema bali una hasira zako tu na huyo unayedai kuwa Rais wa Chato. Uwanja huu ni kweli wa siku nyingi na tayari serikali imeuingiza kwenye mpango wa ukarabati mkubwa na soon tunategemea utafanyiwa ukarabati huo. Mbali na mpango huo mkubwa, ukarabati mdogomdogo wa mara kwa mara umekuwa ukifanyika kuhakikisha ndege zinatua bila matatizo. Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema. Acheni uchochezi usio na miguu wala kichwa!! Yote kwa yote Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu na tunamkubali kwa kazi nzuri ya kuyaminya majizi na mafisadi na kututetea wanyonge. Pigeni kelele sisi hapa kazi tu!!
hiki toka pesa kujenga una lalamika.sijui nikuweke haina gani ya mswahili wa manzese
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Moja kati ya mikoa vichekesho songea huko watu wana roho mbaya sana, Tatizo la wangoni waliamua kukwapua wanawake wa makabila mengine akili ndogo
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
[emoji15] [emoji2] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Songea mnataka Uwanja wa kazi gani¿¡
Ni matumizi mabovu ya fedha kujenga uwanja wa ndege Songea.
Nhhhhh mtoa mada ni mtu wa songea lakin kama wewMtoa mada unanifanya niamini kuwa hukutoa mada hii kwa lengo jema bali una hasira zako tu na huyo unayedai kuwa Rais wa Chato. Uwanja huu ni kweli wa siku nyingi na tayari serikali imeuingiza kwenye mpango wa ukarabati mkubwa na soon tunategemea utafanyiwa ukarabati huo. Mbali na mpango huo mkubwa, ukarabati mdogomdogo wa mara kwa mara umekuwa ukifanyika kuhakikisha ndege zinatua bila matatizo. Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema. Acheni uchochezi usio na miguu wala kichwa!! Yote kwa yote Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu na tunamkubali kwa kazi nzuri ya kuyaminya majizi na mafisadi na kututetea wanyonge. Pigeni kelele sisi hapa kazi tu!!
Weye unabishia ukweli kwa kila maoni yako? Una kaharufu ka uhuni mwilini mwako.Hahahahaaaaaaa endeleeni na utaratibu wenu wa kupokea makapi ya ufisadi yanayotimuliwa CCM, sisi wenye kujitambua kamwe hatuji huko kwa wapiga dili. Chama chenyewe mlishamuuzia Lowassa fisiadi kitambo then bado mnakuja hapa kutushawishi rubbishes!!
Hahahahahaa WA Sumbawanga si ndio Uko jirani na Main Road ukielekea Katavi? Halafu jirani kuna Daraja then juu pale kuna Round aboutMkuu mbona huo mzuri...
Utizame huu wa Sumbawanga..
Watoto...watu...mifugo..bajaji...
CCM tumewapa nchi miaka 55.
View attachment 690052 View attachment 690053
Haahaha kuna viongozi mbali na kushinda makanisani na makamera ila hawatoiona pepo hata watu mill 50 tukiombeaMkuu mbona huo mzuri...
Utizame huu wa Sumbawanga..
Watoto...watu...mifugo..bajaji...
CCM tumewapa nchi miaka 55.
View attachment 690052 View attachment 690053
we kweli mwana ccm! Umeandika mavi hapo juu!hiki toka pesa kujenga una lalamika.sijui nikuweke haina gani ya
mswahili wa manzese
kwani hayo mavi wewe huna,ongea oja kutukana wakati unayowe kweli mwana ccm! Umeandika mavi hapo juu!
Soma jina lake.we kweli mwana ccm! Umeandika mavi hapo juu!
hiyo green ni software gani?kwani hayo mavi wewe huna,ongea oja kutukana wakati unayo
Navuta mtemba wangu huku nawaangalia tu!hiyo green ni software gani?
Kesi ya uchochezi ina kuhusu mr. Mambo ya CCM hayo
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
mungu wao si ndo yule alikua mkubwa kama simtankHivi Songea hawana wabunge?