Picha: Utaamini kuwa mwanamke huyu ni roboti?

explicity

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
207
140
Ni rahisi macho yako kukudanganya kuwa unamuangalia mwanamke halisi pale unapomuona jia jia
37449a70fa2fa9e6b73433b4e592617c.jpg

Akipewa jina la ‘robot goddess’, Jia Jia ana sura na kila kitu kama binadamu wa kawaida kwa kutengenezwa kwa macho yanayocheza kama watu, akizungumza maneno yanaendana na mdomo unavyocheza na anamuita mwanaume aliyemtengeneza LORD
5fa30530f21ddcf1da6d7ae5d41a76cf.jpg

Roboti huyu ametengenezwa na Chen Xiaoping pamoja na wenzake wa chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha China.
Wakati wa utambulisho wake, Xiaoping alimsalimia roboti huyo naye akajibu: Yes my lord, what can I do for you?’ Iliwachukua miaka mitatu kumtengeneza roboti huyu anayeweza kuzungumza, kutembea na vitu vingine.

Tazama picha zake zaidi.
d30be54794d0839a13cdb6d1b59f2f0c.jpg

479841f4ae4f653644f94bf9bd0ffc0f.jpg

56da3544403909ac4383b9329f7fc338.jpg

6b57303c3812e3499a8f850f909d6819.jpg
 
Miaka 20 mbele mtaani kutakuwa na robotics wa kutosha ambapo itakuwa ngumu kuwagundua mana watakuwa similar na sisi actually Engineers tunajitahdi sana ktk nyaja Zetu.
Hapana aitakua rahisi mkuu
 
dah uwepo wa zombies vampires na aliens ni ndoto ila canibals wapo hata bongo
 
Back
Top Bottom