mkuu lakini kwa vile tunakuwa hatuelewi haina shida...niliwahi kulala hotel moja sehemu...kesho yake katika story na mhudumu akaniambia kuna mtu aliwahi kujinyoga kwenye hicho chumba...nilihama hotel kabisa!!ila nisingejua aaah ningeendelea kulala pale!Zamaulid unanipa tafakuri ngumu sana aisee haya magari used tunayoagiza toka japan inawezekana yametumika sana kwa kazi hizo
Chumbani no but in the house yes . I want to create a paradise farm. The animals will not be for consumption. Wakifa natural death I'll give the meat to the poor. Yey or ney?du...as a pet!unalala naye hadi chumbani?!
Lol what is kibudu?natural death...utalisha watu kibudu!!!
Of course!!!!!!Please ukianza wafuga kama pet nikaribishe nione unavyo kopu nao