chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,979

Wakibahatka kushika madaraka ndo watapata ulinzi kama huo.Kwasasa acha waisome namba tu!Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Ni wapi waliposema ni CCM?Acheni kupoosha hapo sio ccm
Kwahiyo hii nchi ni ya wenye madaraka?Wakibahatka kushika madaraka ndo watapata ulinzi kama huo.Kwasasa acha waisome namba tu!
Wanataka macho yao na yako yasigongane ana kwa ana,pindi wanapokupa mkong'oto ili wasikuonee huruma.hivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
badass appearence mainly just for showhivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
Mhurumie mkuu hao ndio waondolewa vyuoni kisa uelewa mdogo.Kwahiyo hii nchi ni ya wenye madaraka?