Picha: UKAWA watikisa Arusha

Mods unganisheni uzi huu na ule wa kwangu mimi MSALANI ndio nilikuwa wa kwanza kuanzisha uzi wa ukawa Arusha.
cc: Paw
MSALANI Kwani na wewe ni UKAWA?

Kaendelee na uzi wako..utapata wachangiaji..Lizaboni,simiyu yetu,mingoi,sumu..nk

Hapa tuachie Wana UKAWA..
 
Last edited by a moderator:
Mnachonishangaza ni jinsi manavyojitahidi kuwashangilia viongozi wenu lakini uchaguzi ukija hampigi kura.
 
NYIE ENDELEENI KUDANGANYA WANANANCHI, WENGINE WANAJENGA NCHI

Kinana anajenga nchi kwa kuwa jangili na kupora meno ya tembo wetu? Poor you! Zuzu mkubwa na Kinana wako jangili...anazuga tu kwa machozi ya mambo..., wajinga ndo HIVYO waliwao...
 
cuf chama cha waislam_ccm
chadema chama cha wakristo_ccm
UKAWA sasa tafuteni wapagani tuu hii nchi mali yenu
maana msheungana cuf na chadema
 
Msalani tulia dawa ikuingie polepole Ukawa mko juu chezea ukawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…