Picha: UKAWA watikisa Arusha

HUYU JAMAA YUKO MMOJA, ALAFU UKAWA MMEJIKUSANYA WOTE

Sasa wewe hapo si unaona kijani mtupu? Ujue ilianza hivi.



Kisha kabla ya mkutano ikafuatia hivi.


Na baada ya mkutano kama ilivyo kawaida ya CCM wengine wakatoswa na wasijue watarudije kwao. Basi kwa huruma huwa wale wanaojali na kuwapenda raia huwa wanawapa msaada bila kujali itikadi zao wanawasaidia lift warudi makwao hivi



Sent from my iPad using JamiiForums
 
kweli chadema imepoteza mvuto ,, wana arusha wameichoka
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (chadema) Dr Wilbrod Slaa (haonekani vizuri pichani) akizungumza na wananchi wa Arusha katika viwanja vya Kilombero ikiwa ni mfululizo wa Mikutano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi iliyoanza juzi katika maeneo tofauti ya nchi. Katika mkutano wa Arusha Dr Slaa aliambatana na viongozi wengine kutoka NCCR Mageuzi na Chama Cha Wananchi (CUF) iliyowakilishwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Bw Mustafa Mwanri.


Mwakilishi wa NCCR-Mageuzi


Mmoja wa wageni waalikwa akisaini kitabu cha mahudhurio

Ulinzi ulikuwa ni wa uhakika kutoka kwa vikosi vya vyama vyote vitatu. Pichani ni kijana wa Redbrigade ya Chadema Bw George katika suti maridadi.


Viongozi mchanganyiko wa vyama vyote vitatu. Katikati anaonekana Dr Slaa akiwa kulia kwa Mbunge wa Moshi Mjini, Mh Philemon Ndesamburo ambaye amejitolea Helkopta yake pamoja na gharama za mafuta na rubani kuzunguka Kanda yote ya Kaskazini hadi Tarime Mkoani Mara.



Mustafa Mwanri wa CUF akizungumza na wananchi


Dr Slaa akikaribishwa Jukwaani




Mwakilishi kutoka Shura ya Maimamu akiwasilisha ujumbe wake.



Madiwani na na baadi ya viongozi

Mh Ndesamburo akifurahia jambo na mdau wa NCCR

Kutoka kushoto, Bw Elifuraha wa ArushaMambo Radio, Katibu wa Kanda ya Kaskazini Chadema, Mh Amani Golugwa na Dr Slaa

 
Mods unganisheni uzi huu na ule wa kwangu mimi MSALANI ndio nilikuwa wa kwanza kuanzisha uzi wa ukawa Arusha.
cc: Paw
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Katibu Mkuu wa Chadema akihutubia wakazi jiji la Arusha kwenye uwanja wa soko la Kilombero jioni hii ikiwa ni mwendelezo wa mikutano ya Ukawa.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Sehemu ya wananchi waliojitokeza kusikiliza hotuba za viongozi wa Ukawa[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Mods unganisheni uzi huu na ule wa kwangu mimi MSALANI ndio nilikuwa wa kwanza kuanzisha uzi wa ukawa Arusha. cc: Paw
kanye kwanza utawaze uje,mod si mjinga kama wewe tulia uone ukawa ni moto kwa ccm
 
Last edited by a moderator:
Kantangazeeeeeee!chezea ukawa wewe,kweli magamba wanasababu ya kuhangaika.wamekataza maandamano lakini watu debe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…