Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,710
Ufike wakati wakristo tuseme basi! I am sure tutapigana vita vya akili wakati wao watapigana vita vya mabavu maana wengi hawajaenda shule ni wavuta bangi tu mitaani humo ndiyo maana wanapata muda mchafu wa kufanya haya. For sure tutashinda. We better revenge.
Heyi! Am sure hiyo dini ya kimuslimu ni dini ya shetani. Vita yao ni ya mwilini.
hawa watu wengi waanishi chini ya 2000 kwa siku maisha yao wengi ni duni sana ni mume atoke asubuhi aende mjini akirudi kahela hako katumike chote kesho tena hivyo hivyo sasa watz hawajui adha ya VITA hutaweza kwenda popote kutafuta hawa watu watajifia kama matete nakwambia sio hapa tu ni tz DUNIA nzima watasubiri tende nanyama za mbuzi /Kondoo kutoka arabuni wasipate.poleni sana ngd zanguni, huu si uislamu hawa ni binadamu na utashi wao, wanajivika nguo za uislamu ili kukidhi tamaa zao. usikute ni vibaka pia. (KAMA JAMBO LIMEISHA FIKA KTK VYOMBO VYA DOLA ) tumeusiwa subira vurugu za nini tena ninyi waislamu wenzangu..........? MNAITUKANISHA DINI YA M/MUNGU kwa kutotumia uvumilivu na subira ya kiimani. kuchoma moto mali za wenzenu ndio kutatoa ufumbuzi wa hilo tatizo.......? tunaishi pamoja, tunashirikiana kwa mengi mnaanzisha uhasama ili iweje....? Mtukufu wa daraja aliwaambia maswahaba, TUMEMALIZA VITA NDOGO YA UPANGA , IMEMABAKI VITA KUBWA (WAKASHANGAA) na ndio hii vita ya NAFSI tuvumiliane ili tuudumishe na kuuletea heshima uislamu wetu. poleni ngd zangu woote mlioathirika kwa namna moja ama nyingine, nina imani vyombo vya dola vitafanya kazi yake.
jeshi la polisi lilikuwa wapi mpaka makanisa yakaharibiwa kiasi hiki hawakupata kabisa taarifa za kiitelejensia,
Wa Christo sijui tutashitaki wapi Rais muislamu, Igp muislamu ,Rc muislamu, Rpc muislamu Mkuu usalama wa Taifa muislamu sasa wacristo tuseme basi