Picha:tutakukumbuka daima

Mke wa JWe vipi??
Ana shingo fulani imekatika pale katika yeye na mama salma na umy mwalimu kusema ukweli kutoka moyoni shingo zao nazipendaga sana sijui kwa nini.. na sio hao tuu yaani mwanamke yeyote mwenye shigo ya kihivyo huwa nampenda sana sijui kwa nini
 
Hii picha inatafakarika sanaView attachment 833477
Mamaee!! Mwaka huu utaropoka mengi Sana...
Mlitukana Sana mzee wa watu mlimwita kila jina baya mlimtania Kama kinyago lakn Mungu si athuman lazma atakufanya uheshimu tawala za dunia maana yeye ndio aliamua ziwepo...

Ukitaka kumnyoosha kibaka mpe mazingira magumu tu ataropoka kila kitu
 
Una uhakika na kauli zako au ushavuta visheri vimekuingia kichwani
 
Una uhakika na kauli zako au ushavuta visheri vimekuingia kichwani
Tulia jombaa mshipa ukuingie..
Hivyo visheri unavijua wewe na Dada wenzako...
Mtaongea mengi Sana mwaka huu
 
Mkuu usifananishe MKWERE na wachimba chumvi..
 
Thamani ya mtu huonekana pale anapoondoka. Jilie pensheni mzee baba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…