Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Miaka yote najuaga wewe ni mwanaume kumbe ni ke !!!! Naona jamaa hapo anasema mkewe ni wifi akoKama ni kweli hongera kwa hilo
unajua maana ya wifi? uchonganishi uko wapi sasa?Acha uchonganishi kijana
Eti royal HahahahaFaza alikua royal kwa mkewe sana hata kam ali mcheat basi ni ki staarabu
Matunzo tu,ila nadhani mama Janet mzuri zaidi.Sema ndio hivyooIla mama Salma mzuri bwana
Jahcarhire ndio wa kulaumiwa sana huyo mtu.Kwa kweli hamna rangi mtakayo acha ona
Basi inatosha,hawa ni wake wa wazee wetu yatosha kusifia hapo.Ila Jiwe alikwisha wahi kumsifu Mama Jk hafharani kwamba ni mrembo.Yoteniyote hawa ni wake wa wazee wetu ni mama zetu wote wako poa.Wote wako njema wewe hivi uliwahi kukaa nao hata karibu ukawaangalia vizuri?wana shingo fulani hivi amazing nazipendaga balaa shingo za kihivyo
Hicho ndicho kinacho wapelekea mnapigwa na wake zenu. Kwasababu ya kujifanya mnajua kupetipeti.Watu wa pwani wanajua kupetipeti sio sawa na watu wa kanda ya ziwa
Sio mzuri huo uweupo tyuIla mama Salma mzuri bwana
Mke wa JWe vipi??Ila mama Salma mzuri bwana
mzuri pia tatizo jiwe anamfanya asionekaneMke wa JWe vipi??