Picha tu: Lowassa Mwanza

Basi mwingine akasema ooh mwanza hakuna minazi, magamba yanahitaji sana elim
 
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa

fugees Malucifer bwana.!! unapopinga leta ushahidi wako sasa...kama hauna kaaaaaaaaaaa kimyaaaaaaa kinachokuuma nini sasaaaa? huna ushahidi piga kimya acha watu wapost walichokiona wao manake ndo uahahidi wao...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa

Umeona channel ten? Ccm mumebanwa kisawasa
 
photoshop mmekaririshwa....magamba bana na bado...
 
Mbona kama vile kongo drc? Ukawa mnatudanganya bana
 
Jamani lowAsa ni kiboko nilikuwepo toka saa moja aSubuhi huyu mzee anaiua ccm kula kwa magufuri ila kurA ni kwa rowasa tumechoka na chama chakavu tumeamka toka gizani peoples poweeeeeeeer
 
Hapo siyo mwanza,ingawa kweli mkutano wa chadema ila narudia tena hapo siyo Mwanza

Mwanza ni wapi sasa?
Hilo jengo linaloonekana lipo jirani na rock city mall, iliyopo na uwanja wa Furahisha.
Huijui Mwanza keep Quiet!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…