mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Hapo siyo mwanza,ingawa kweli mkutano wa chadema ila narudia tena hapo siyo MwanzaHuwii huyu edu sasa ahapishe tu
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa
Hapo siyo mwanza,ingawa kweli mkutano wa chadema ila narudia tena hapo siyo Mwanza
picha imepigwa kutokea rock city mall....hio nyumba hapo ni getini kuingia rock city mall...Hapo siyo mwanza,ingawa kweli mkutano wa chadema ila narudia tena hapo siyo Mwanza
it masaki watasema ya namibia
Weka na hii kabla ya Lowassa kufika wasije wakasema ni Nigeria
![]()
Hapo siyo mwanza,ingawa kweli mkutano wa chadema ila narudia tena hapo siyo Mwanza
Picha za Ukawa zinazidi kuchakachuliwa siku hadi siku.