Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 5,006
Pole sana mkuu wala sikulaumu ni malezi ulopitia ndo yamekuathiri ki fikra. Iko siku macho yako yatafunguka. Halafu...... hivi kwanini kila anayeikosoa au kuilaumu "chicheme" anaambiwa we mwanaCDM? Hawezi kuwa mwanaCUF au UDP? Tehetehetehe.... mnalo wakuu. Na hii miaka mtajibeba!!!!wewe njaa(CDM) hujapata sehemu ya kula bora unyamaze kwani ukiipata CCM watakua na nafuu