( PICHA ) Tazama huu ubunifu wangu!

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
( huu ni ubunifu wangu )

NB : Katika michoro hii sijatumia Computer wala Laptop ( hiyo ni kwakuwa sina hivyo vitu ). Nimechora kwa mkono kisha nikapiga picha kwa kutumia simu yangu Nokia E72 kisha nikaedit ( contrast ) kwenye simu yangu. Huu ni mwanzo tu. Najimeki, ili nipate vifaa na makolokolo kama vile Adobe n.k . Nina ndoto ya kujua kutengeneza mabango ya matangazo. Pia nina ndoto ya kuja kutengeneza matangazo kwa kutumia katuni ambazo zinajongea ( Animation cartoon ). Naomba mniombee jamani, lakini pia nahitaji mawazo yenu katika hili wazo langu

Kunikosoa ruhsa ( ili nijifunze ).

Ni mimi ndugu yenu Tanki la majiiiiiiiiii...........
 
Umeanza kuzionyesha humu JF jitahidi pia kupeleka kwenye makampuni hayo ulioyatengenezea mifano hiyo wanaweza wakafikilia njisi ya kukusaidia pia usikate tamaa kama ipo ipo tu.
 
Kwanza hongera sana kwani umejitahidi mno kwa ubunifu wako,ushauri wangu ni kwamba kama hilo la Novida na Coca unaweza waonyesha marketing department wakaona ubunifuwako hopo watakuona una value sana in their deprt becoz marketing its all about advert,pili waweza kwenda airtel kuwaonyesha na hata makampunimengine wanaweza wakachukua wakaweka hizo katuni kwenye magazeti.All the best mungu awe nawe.

"Creativity means believing you have greatness"
 
Kusanya hela kidogo uende shule ya Sanaa jifunze zaidi ubunifu zaidi good luck son
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…