PICHA; Sugu na Kina Mama! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA; Sugu na Kina Mama!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kiganyi, Oct 4, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Hapo akipokelewa na wanawake... alipowasili kwa ajili ya Mkutano huo​
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
  Mmoja wa Wanawake akichangia maoni yake kwa Mbunge​
  [​IMG]
  Mh. Joseph Mbilinyi hapo akiwa anaaga baada ya kumaliza mkutano​
   
 2. kandukamo1

  kandukamo1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 938
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 60
  Mkutano ulikua unahusu nn? Je, ni harakati za M4C? Au ni moja ya utaratibu wake aliojiwekea kukutana na wapiga kura wake? Fanya ufafanuzi ili itambulike kama hbr Mkuu!
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Makamanda wetu wote chini ya M4C juhudi zenu kwa kila kitongoji katika kila kaya hivi sasa HADI RAHA!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Wakati mabeki wengi walioko ndani ya chama hicho na hata wale wengine wengi zaidi waliojificha ndani ya hivi vyama vya 'upinzani ghiliba' wanavyoendelea kumkaba bila mafanikio mfungaji bora wa CHADEMA kwa misimu yote mfululizo,Mhe Dkt Slaa tu machoni mwao, hapo ndipo makamanda wetu lukuki wasioku na majina sana masikioni mwao Wana-CCM hufanya MASHAMBULIZI YA KUFA MTU kila pembe ya nchi.

  Mabadiliko mbeeeeeeeeeeeeeeeleee kama tai bila kugeuka nyuma hata kwa theluthe moja tu.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280

  Kiganyi,
  Huu mkutano wa nini harusi, au nini tunaona picha tu za kina mama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ILIKUWA WAPI HAPA? its good
   
 6. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hii inaonesha kuwa CDM si chama cha bahati. Pamoja na uchache wa rasilimali watu walionao, kimejipanga vizuri kimikakatii inaelekea.
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Hakuna kulala mpaka kieleweke.
   
 8. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nimependa saana fashion za chadema..hebu cheki vilemba vya akina mama hadi raha.
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  Mi pia nimependa how it goes down

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 10. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,544
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Kina mama oyee. CHADEMA endeleeni kuwa karibu na wanawake ni wapiga kura wazuri na walezi wa familia.
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  Sugu ni kichwa, hivi Silinde hajifunzi kwa wenzie.!
   
 12. m

  mamajack JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe kip-ofu,onaona hapo kunamdundiko kuashiria harusi?uliza vitu vya msingi.hao ni watu wa kazi bana alaaaa.
   
 13. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aaah kumlinganisha Sugu na Silinde ni kumkosea heshima Silinde!
   
 14. L

  Lwesye JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 5,297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mambo hoyee ,hii nzuri sana anaona idara zote mara wazee,akinamama inafurahisha
   
 15. T

  Triple DDD Senior Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hingera kamanda
   
 16. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kama sikosehi, last week alikutana ma wazee pia, hivyo ni mwendeleo tu wa kukuza chama na kupeana taarifa za maendeleo

   
 17. i

  iseesa JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh Sugu Angalia Mheshimiwa WASSIRA asikuone atakusingizia kitu kama Dr Slaa
   
 18. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Chadema makao makuu na kamati kuu ya Chadema ni lazima watengeneze mkakati mahususi wa jinsi ya kupata kura za wakina mama nchini; hivi sasa wing ya wakina mama chadema haionekani kujishuhulisha na mobilisation ya wapiga kura wanawake!! Chama cha magamba wana mkakati kabambe jinsi ya kupata kura hizi!!! Amkeni wakina mama ni weng sana nchini na kura zao ni muhimu sana kwa ushindi!!!!!!
   
Loading...