The Khoisan JF-Expert Member Jun 5, 2007 15,424 13,046 Dec 31, 2012 #21 Mchaka Mchaka said: Huyu big willy(william mungai) ni mtoto wa mzee mungai yule aliyekuwa waziri wa elimu enzi za mkapa. Click to expand... Mkikuyu huyo anajua kusoma alama za nyakati. Wamatumbi tunasubiri mpaka gharika lije litusombe .
Mchaka Mchaka said: Huyu big willy(william mungai) ni mtoto wa mzee mungai yule aliyekuwa waziri wa elimu enzi za mkapa. Click to expand... Mkikuyu huyo anajua kusoma alama za nyakati. Wamatumbi tunasubiri mpaka gharika lije litusombe .
TUKUTUKU JF-Expert Member Sep 14, 2010 11,765 4,033 Dec 31, 2012 #23 Ndiyo maana mimi nalipendaga sana hili lichama!yaani lipo imara sana,CCM ikijaribu kutumia hila life lakini halifi!naliombea kwa mungu lidumu!
Ndiyo maana mimi nalipendaga sana hili lichama!yaani lipo imara sana,CCM ikijaribu kutumia hila life lakini halifi!naliombea kwa mungu lidumu!
Mandingo JF-Expert Member Sep 22, 2011 4,429 3,637 Dec 31, 2012 #24 Safi sana wale wa ukanda naona cd yao ishaa kosa soko!
Z zuberi JF-Expert Member Jun 27, 2009 204 16 Dec 31, 2012 #25 Sugu sasa ina faa tukuite Mwalimu,ulizeni kwa nini nita wajuza
Ileje JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,804 12,251 Dec 31, 2012 #26 Natabiri mwaka 2013 CHADEMA itafanya gharika kubwa na kusomba wote waliokuwa na roho ngumu baada ya kugundua ulaghai wa CCM! Hakika El Nino imeanza!
Natabiri mwaka 2013 CHADEMA itafanya gharika kubwa na kusomba wote waliokuwa na roho ngumu baada ya kugundua ulaghai wa CCM! Hakika El Nino imeanza!
Rapherl JF-Expert Member Jun 20, 2012 3,504 2,254 Dec 31, 2012 #27 I wish mikoa yote ingekuwa kama Mbeya,inatia moyo sana wapiganaji wanapowakilisha vizuri huko Mbeya.Big up!
I wish mikoa yote ingekuwa kama Mbeya,inatia moyo sana wapiganaji wanapowakilisha vizuri huko Mbeya.Big up!
M Mghaka JF-Expert Member Apr 11, 2011 320 127 Dec 31, 2012 #28 Rapherl said: I wish mikoa yote ingekuwa kama Mbeya,inatia moyo sana wapiganaji wanapowakilisha vizuri huko Mbeya.Big up! Click to expand... Roma haikujengwa siku moja. Wapo njiani wanakuja utawapenda subiri saa ya vita ya ukombozi itakapotangazwa na jemadari wa mpambano na kutaja brigedia wa vita hiyo.
Rapherl said: I wish mikoa yote ingekuwa kama Mbeya,inatia moyo sana wapiganaji wanapowakilisha vizuri huko Mbeya.Big up! Click to expand... Roma haikujengwa siku moja. Wapo njiani wanakuja utawapenda subiri saa ya vita ya ukombozi itakapotangazwa na jemadari wa mpambano na kutaja brigedia wa vita hiyo.
B BUMIJA MOSSES Member Dec 5, 2012 67 23 Dec 31, 2012 #29 Hongereni sana Makamanda, Wanaotuombea mabaya wakati wapo ndani ya Jahazi matumbo yanawauma